DKT. NCHIMBI TAYARI YUPO ITILIMA SIMIYU
Wakazi wa Kata ya Langabilili,wilaya ya Itilima mkoani Simiyu leo Jumanne Septemba 2,2025 wamejitokeza kwa wingi kumpokea na kumkaribisha kwa shangwe Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),…
DKT. AUATAMIA MKOA MCHANGA WA SONGWE
Mgombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo mguu sawa kesho…
BALOZI NCHIMBI AMKABIDHI NYARAKA KATIBU MKUU WA CCM BALOZI ASHA ROSE MIGIRO
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt,Emmanuel John Nchimbi ambaye kwa sasa ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimkabidhi nyaraka Katibu…
DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM CHA UTEUZI WA MWISHO WA WAGONBEA UBUNGE
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani akiongoza kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa, ambacho kinafanya uteuzi wa mwisho wa…
BALOZI DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA UWT
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania…