RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. Kikao hicho cha…
CCM YATIA KIBINDONI SH. BIL. 2.7 KWA WAWANIA UBUNGE 5,475
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM linakamilika siku ya jana…
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
*Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila *Awapongeza wanawake kusimamia amani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga…
RAIS SAMIA: MWELEKEO NI ELIMU YA UJUZI KWA VIJANA KUMUDU SOKO LA AJIRA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya CCM anayoiongoza, imechukua hatua madhubuti katika kuweka mwelekeo…
RAIS SAMIA ATETA NA BALOZI NCHIMBI, MCHENGERWA NA RC KIHONGOSI
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Chama na Serikali, mara baada ya kuzindua…
KUMEKUCHA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM TAIFA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika…